MAONI BINAFSI YA MABADILIKO YA KATIBA KATIKA KIPENGELE KINACHOHUSU NAMNA YA KUPENDEKEZA NA KUMCHAGUA MGOMBEA WA NAFASI YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA HATUA ZA AWALI KABISA KATIKA VYAMA VYA SIASA NCHINI:-
(a) Tangu Tanzania imepata uhuru miaka 52 iliyopita ni chama kimoja kimekuwa madarakani katika kipindi chote . Na katika miaka 50 ya uhuru kumetokea kuwa na Marais 4 na wote wametoka chama kimoja tu cha siasa nchini. Historia inaonyesha kwamba katika Marais hao wanne Rais wa awamu ya pili naya tatu walikuwa hawafahamiki kwa watanzania bali kwa vile Rais wa awamu ya kwanza alikuwa ana aminika na watanzania ilibidi watanzania wakubaliane na mapendekezo yake hata kama watanzania hawakuridhika na chaguo la Mwl. Nyerere. SOMA ZAIDI
No comments:
Post a Comment