Friday, March 15, 2013

Mkuu wa wilaya KOROGW E :Changamoto za elimuyetu hapa korogwe

Mkuu wa wilaya KOROGWE, TANGA  ndugu Mrisho Gambo amekutana na haya katika idara ya elimu huko Korogwe baada ya kufanya uchunguzi mdogo wa nini kinaendelea hasa katika matumizi ya pesa, halichokutana nacho ni hiki:
            TAARIFA FUPI


Naendelea kufanyia kazi changamoto za Elimu yetu hapa Korogwe.
Jana nilikutana na Idara za Elimu Sekondari kupitia matumizi ya pesa za kununua vitabu na

MAHITAJI YA NG’OMBE ILI AONGEZE MAZIWA


Wape ng’ombe wako lishe kamili, yenye nguvu, protini, na vitamin pamoja na maji ya kutosha. Kulisha ng’ombe kwa kutumia aina yoyote ya malisho haitoshi kukuhakikishia ng’ombe anakuwa na afya nzuri na kutoa maziwa ya kutosha. Kama ilivyo kwa binadamu, ng’ombe anahitaji mlo kamili. Malisho ni lazima yawe na uwiano sahihi wa viungo.
Mifugo inahitaji chakula kitakachowapa nguvu, protini, madini, na vitamin ili kujenga miili yao, kuzalisha maziwa, na kuzaliana. Wanyama wadogo wanahitaji virutubisho vya kutosha, ili wakuwe na kuongeza uzito. Ng’ombe wa maziwa wanahitaji virutubisho zaidi ili kuweza kuzalisha maziwa kwa wingi hasa katika kipindi cha miezi 3-4 ya mwanzo baada ya kuzaa, wakati ambao uzalishaji wa maziwa unakuwa juu.

Malisho ya kijani ni mlo mkuu kwa mifugo
Mlo muhimu na wenye virutubisho kwa mifugo ni majani. Lakini soma zaidi

Wednesday, March 13, 2013

DEDICATED EFFORTS WILL STOP ACUTE KIDNEY ATTACKS


As kidney disease threaten many life in the world i have honour to share to you a World Kidney Day (WKD), It is a global health awareness campaign focusing on the importance of the kidneys and reducing the frequency and impact of kidney disease and its associated health problems worldwide. The campaign is celebrated every year on the second Thursday of March in more than 100 countries on 6 continents. READ MORE

Tuesday, March 5, 2013

NAFASI YA WALIMU WAPEWE WALIMU NA WATHAMINIWE


Tukubali tukiamini walimu wanajua matatizo yanayoikumba Elimu kuliko mtu mwingine yeyote. Tuwapatie fursa stahiki katika kuleta suluhu matatizo ya Elimu nchini.
Mwalimu ni mlezi wa kiroho, kiakili na kimwili wa wanafunzi. Tatizo la ufaulu mdogo wa wanafunzi wahitimu wa kidato cha 4 mtihani wa mwaka 2012 kwa sehemu kubwa na kwa kiasi kikubwa ni matokeo ya malezi duni, kiroho, kimwili na kiakili ambapo mwalimu amenyang'anywa jukumu lake na kuachiwa kisehemu kidogo tu katika malezi ya kiakili kwa kuwafundisha watoto majibu ya SOMA ZAIDI 

Sunday, March 3, 2013

Maoni ya mwana #ChangeTanzania kuhusu upatikanaji wa raisi ndani ya vyama vya siasa


MAONI BINAFSI YA MABADILIKO YA KATIBA KATIKA KIPENGELE KINACHOHUSU NAMNA YA KUPENDEKEZA NA KUMCHAGUA MGOMBEA WA NAFASI YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA HATUA ZA AWALI KABISA KATIKA VYAMA VYA SIASA NCHINI:-
(a) Tangu Tanzania imepata uhuru miaka 52 iliyopita ni chama kimoja kimekuwa madarakani katika kipindi chote . Na katika miaka 50 ya uhuru kumetokea kuwa na Marais 4 na wote wametoka chama kimoja tu cha siasa nchini. Historia inaonyesha kwamba katika Marais hao wanne Rais wa awamu ya pili naya tatu walikuwa hawafahamiki kwa watanzania bali kwa vile Rais wa awamu ya kwanza alikuwa ana aminika na watanzania ilibidi watanzania wakubaliane na mapendekezo yake hata kama watanzania hawakuridhika na chaguo la Mwl. Nyerere. SOMA ZAIDI

Saturday, March 2, 2013

Misamaha ya kodi kwa taasisi za kijamii na taasisi za kidini (Charitable Organizations and Religious Organizations)


Suala la misamaha ya kodi limekuwa likizugumzwa kwa muda sasa. Ukweli linawatatiza wengi wetu, wengi tunaweza kuwa hatulifahamu vizuri. Ebu tuangalie sheria inasemaje! Sheria yetu ya kodi inayotumika ni ile ya mwaka 2004 ambayo imefanyiwa marekebisho madogo madogo kadhaa. Kwa sasa naamini toleo linatumika ni lile la mwaka 2006 kwani ndio sheria iliyoko hata kwenye tovuti yaTRA Income Tax Act (Amended), 2006.
Naomba niweke wazi kwamba, kwa mtazamo wangu, sheria yetu iko vizuri kama ikiwa kwenye "mikono salama" nasema mikono salama kutokana na matukio mfano regea kesi ya Bazir Mramba . Lakini mjadala hapa ni misamaha ya kodi.
Katika sheria inayotumika hivi sasa, msamaha wa kodi unaweza kuja kwa namna mbili. SOMA ZAIDI


Maoni Mbadala kwenye ukurasa wa twitter


Popular Posts