Baada ya kuripotiwa wiki iliyopita na moja ya gazeti la IPPMEDIA kwamba naibu waziri wa ujenzi Dr Charles Tibeza anaishi New Africa hotel, waziri huyo sasa amepata nyumba ndani ya wiki moja.
Hii inaacha maswali mengi ya msingi:
1.) Je waziri alikuwa anaishi hapo hotelini kinyemela? mbona amehama ghafla baada ya kuripotiwa?
2.) Je ni kweli amepata nyumba au amebadisha hotel?
3.) Waziri alikuwa ana kaa hapo kwa bajeti ipi? maana inavyooneka suala lote ni kificho na sababu za yeye kuishi hapo ni siri ya wizara na sasa wanasaka mchawi aliyetoboa hiyo siri.
4.) Walikuwa wanasubiria nini kumhamisha huyo waziri? je ni kweli hakuwa na nyumba ya kuishi? zilikosekana? sasa wamewezaje ndani ya wiki moja?
5.) Mchezo wa serikali kufanya kazi baada ya kulipuliwa utaisha lini?
6.) kwa nini viongozi wetu hasa mawaziri hawatumii nyumba zao kwa makazi? kama hoja ni usalama je kuna