Tukubali tukiamini walimu wanajua
matatizo yanayoikumba Elimu kuliko mtu mwingine yeyote. Tuwapatie fursa stahiki
katika kuleta suluhu matatizo ya Elimu nchini.
Mwalimu
ni mlezi wa kiroho, kiakili na kimwili wa wanafunzi. Tatizo la ufaulu mdogo wa
wanafunzi wahitimu wa kidato cha 4 mtihani wa mwaka 2012 kwa sehemu kubwa na
kwa kiasi kikubwa ni matokeo ya malezi duni, kiroho, kimwili na kiakili ambapo
mwalimu amenyang'anywa jukumu lake na kuachiwa kisehemu kidogo tu katika malezi
ya kiakili kwa kuwafundisha watoto majibu ya SOMA ZAIDI
No comments:
Post a Comment