Tuesday, May 29, 2012

Migongano baina ya wazanzibari na watanganyika haikuanza baada ya muungano mwaka 1964

Makala ya Mdau
Interraction baina ya wazanzibari na watanganyika haikuanza baada ya muungano mwaka 1964. Kwa mujibu ya wazee waliotutangulia, wanadai, hapo kale walikuwa wakivuka kwa majahazi kuja kufanya biashara Tanganyika na wafanyakazi wengi wa kule visiwani hasa Pemba walikuwa wanatoka Bara, walijulikana kwa jina la pamoja kuwa WANYAMWEZI.

Mzee aliyenipa simulizi hizi anadai yeye alikuja bara kabla ya muungano lakini si peke yake bali hata huyo Karume walikuwa nae Tanganyika kabla hata ya mapinduzi ya zanzibar. Wapo watanganyika na wazanzibar waliooana kabla ya muungano na wapo waliohamisha makazi yao kuelekea bara au visiwani kabla ya ya muungano na analaani UROHO WA KISIASA wa wanasiasa wa Zanzibar na Tanganyika wa kipindi hicho kwa kutumia undugu na muingiliano baina ya bara na visiwani on their political advantage.
Karume kwa upande wake alikuwa na sababu zake binafsi za kuingia kwenye muungano na Nyerere pia alikuwa na sababu zake binafsi ambazo, kwa namna moja au nyengine zimechangia kuufanya muungano huu
wa kisiasa kulega lega.

“unajua karume alitiwa upofu na matatizo yake yaliyokuwa yanamkabili kwa wakati ule hivyo, terms zozote

Monday, May 28, 2012

Change Tanzania kwenye mitandano ya kijamii

Jiunge na Change Tanzania kwenye facebook BOFYA HAPA
  Pia kwenye mtandao wa twitter unaweza kuifuata Change Tanzania HAPA
Watanzania wote mnakaribishwa, lengo ni kusukuma gurudumu la maendeleo
kwa namna yetu

Popular Posts