1. UTANGULIZI.
Haya ni maoni yangu kuhusu Bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha 2013/2014. Nimeisoma bajeti yote, hivyo mchango wangu nimeuweka kwenye vipengele vikuu vitatu:
1.) Mipango Mizuri - kwa ajili ya kuwapa motisha viongozi na kuboresha zaidi,
2.) Mipango ya Kurekebisha - ambayo naona ni kandamizi kwa mwananchi, na
3.) Mtazamo wa Jumla na Mapendekezo.
Kwa mambo ambayo nimeona ni ya kawaida sitayagusia; lakini jambo ambalo kwangu ni la kawaida ila kwa wananchi wenzangu linaweza kuwa la mashaka kwao limeligusia.Soma kwa undani hapa changetanzania official website
Sunday, June 16, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)