Wednesday, February 27, 2013
TANZANIA TUJIFUNZE KUTOKA NCHI ZINAZOONGOZA KWA ELIMU BORA DUNIANI
Baada ya matokeo mabaya ya kidato cha nne mwaka 2012 nimeshawishika kuandika uchambuzi huu kuhusu elimu na nchi zinazofanya vyema duniani kielimu.
Nchi zinazoongoza kwa elimu bora duniani ni Finland namba moja na Korea ya Kusini inashikilia namba mbili.
Utafiti uliofanyika ili kuzipa hizi nchi mbili nafasi ya kwanza na ya pili ni majumuisho ya matokeo ya mitihani ya READ MORE
Labels:
ELIMU
Sunday, February 24, 2013
Barabara ya Mwai Kibaki tunawezaipa jina jipya shiriki mchakato
Kama Change Tanzania
tunaungana na wananchi katika masikitiko yao kwa Old Bagamoyo Road kubadilishwa
jina na kuitwa Mwai Kibaki Road, maelezo ya wananchi wengi ni kwamba Raisi Mwai
Kibaki hana mchango wote katika nchi yetu sasa inakuwaje tunalienzi jina lake (Tuna
muenzi Mwai Kibaki) hapa nchini kwa kuweka jina lake katika barabara zetu?.
Change Tanzania kupitia
kiongozi wake Maria ilifanya mazungumzo na Meya Jerry Silaa ameeleza Change
Tanzania kuwa jina la Kibaki road linaweza kubadilishwa ila haiwezi kuitwa jina
lake la zamani Old Bagamoyo Road. Tuko tayari kupeleka maombi na tunahitaji
mapendekezo ya jina la barabara. soma zaidi na shiriki hapa
Saturday, February 23, 2013
Tanzania's headlines 23/02/2013
Dar es Salaam. About a week
ago, I read an article in the print media by Prosper Makene titled ‘Arusha
institute goes for anti-plagiarism software to promote academic honesty’.
I found it enlightening, as
it touched on the negative and positive effects of the internet, particularly
in relation to plagiarism at our institutions of higher learning READ MORE
------------------------------------------------------------------------------------------------------------
ZAMBIA has sold 20,000
metric tonnes of maize to Tanzania at a cost of US$7 million. This is under a
special bilateral agreement that was facilitated by the countries’ heads of
State. An agreement was signed in Lusaka yesterday at the Food Reserve Agency,
which will allow Zambia to supply the commodity to Tanzania despite a ban of
maize and mealie-meal exports READ MORE
------------------------------------------------------------------------------------------------------------
VENTURES AFRICA – The
Tanzania Posts Corporation is to go digital, in line with other posts companies
seeking to grow their revenue generation base and to keep pace with
technological advancements. Postal office officials and experts told a briefing
yesterday that it was READ MORE
------------------------------------------------------------------------------------------------------------
BP Oil, a firm that traded
in petroleum business for many years in Tanzania, has expressed interest to
invest in natural gas exploration and drilling in the country. READ MORE
Tuimarishe misingi ya uhuru na haki ni muhimu katika maendeleo ya nchi
(a) Kwamba binadamu wote ni sawa;
(b) Kwamba kila mtu anastahili heshima;
(c) Kwamba kila raia ni sehemu ya Taifa na anayo haki ya kushiriki sawa na wengine katika Serikali tangu ya Mitaa, ya Mikoa hadi Serikali Kuu;
(d) Kwamba kila raia anayo haki ya uhuru wa kutoa mawazo yake, ya kwenda anakotaka, uhuru wa kuamini dini anayotaka na wa kukutana na watu mradi havunji Sheria; SOMA ZAIDI
Sunday, February 17, 2013
Tuungane na G20 kupambana na makampuni ya kimataifa ukwepaji kodi
Hii video imechukua mazingira mbalimbali Tanzania/Mtanzania ili kutoa picha halisi ya nchini yetu hasa kiuchumi, hali ya masoko yetu na maliasi tulizo nazo( Tazama hapa ).
Kwa maliasili tulizonazo UCHUMI wa wananchi huko chini sana, lazima tujenge mfumo ambao mwananchi ananufaika moja kwa moja na maliasili zilizojaa kila kona, watanzania walio wengi wanaishi maisha duni kama ambavyo hiyo video inaonyesha, wanafanya shughuli za uzalishaji katika mazingira duni, mazingi ambayo hata mteja SOMA ZAIDI
Labels:
Uchumi
ISHI MABADILIKO UYATAKAYO KWA VITENDO (be the change you want to see)
Nilikuwa natafuta sehemu
ambayo sitamhukumu Slaa kwa sababu mimi ni CCM, na mwenzangu hatamhukumu
kikwete kwa sababu yeye ni CHADEMA bali kutokana na utendaji wao na sera, na
ninaposema kuhukumu simaanishi kumwita kikwete fisadi kwenye mtandao, au
kuzungumza maisha ya ndoa ya slaa kwenye facebook lakini kumhukumu kwenye
sanduku la kura soma zaidi
Tuesday, February 12, 2013
MAAMUZI YA KUFUTWA POAC HAYAKUBALIKI TUMWAMBIE SPIKA ANNA MAKINDA NA NAIBU WAKE JOB NDUGAI
Hatua ya spika kufuta POAC imesikitisha sana. Kama Change Tanzania ni muhimu tukashiriki kutetea uwepo wa POAC kutokana na umuhimu wake. Kabla hatujaenda mbali tuweke wazi watu tuliowapa dhamana kuliongoza bunge na mawasiliano yao
Spika Anne Makinda
Spika Anne Makinda
mawasiliano yake bofya yanapatikana hapa :: +255 754 465226/+255 784 465226
amakinda@parliament.go.tz pia unaweza wasiliana naye kwa online form BOFYA HAPA
Naibu spika Ndugai mawasiliano yake bofya yanapatikana hapa
namba zake ni : +255 762 605 951 /+255 655 605 951
email: jndugai@parliament.go.tz
Tunaomba wananchi mzungumze na spika na naibu wake kwa njia ya simu hizo hapo juu ili wapete mtazamo mpana kuhusu maamuzi waliyochukua, lakini pia watanzania tuongee nao juu ya utendaji wao kwa ujumla, uvunjwaji wa Kamati ya mahesabu ya mashirika ya umma yaani POAC iwe ni sehemu ya maoni yetu kwao.
Tukiendelea kukaa kimya huku tukilalamika pembeni sio sahihi, yatupasa tuwasiliane nao ili watafakari kwa
amakinda@parliament.go.tz pia unaweza wasiliana naye kwa online form BOFYA HAPA
Naibu spika Ndugai mawasiliano yake bofya yanapatikana hapa
namba zake ni : +255 762 605 951 /+255 655 605 951
email: jndugai@parliament.go.tz
Tunaomba wananchi mzungumze na spika na naibu wake kwa njia ya simu hizo hapo juu ili wapete mtazamo mpana kuhusu maamuzi waliyochukua, lakini pia watanzania tuongee nao juu ya utendaji wao kwa ujumla, uvunjwaji wa Kamati ya mahesabu ya mashirika ya umma yaani POAC iwe ni sehemu ya maoni yetu kwao.
Tukiendelea kukaa kimya huku tukilalamika pembeni sio sahihi, yatupasa tuwasiliane nao ili watafakari kwa
Subscribe to:
Posts (Atom)


