Sunday, February 17, 2013

Tuungane na G20 kupambana na makampuni ya kimataifa ukwepaji kodi

Hii video imechukua mazingira mbalimbali Tanzania/Mtanzania ili kutoa picha halisi ya nchini yetu hasa kiuchumi, hali ya masoko yetu na maliasi tulizo nazo( Tazama hapa ). Kwa maliasili tulizonazo UCHUMI wa wananchi huko chini sana, lazima tujenge mfumo ambao mwananchi ananufaika moja kwa moja na maliasili zilizojaa kila kona, watanzania walio wengi wanaishi maisha duni kama ambavyo hiyo video inaonyesha, wanafanya shughuli za uzalishaji katika mazingira duni, mazingi ambayo hata mteja SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Popular Posts