Kama Change Tanzania
tunaungana na wananchi katika masikitiko yao kwa Old Bagamoyo Road kubadilishwa
jina na kuitwa Mwai Kibaki Road, maelezo ya wananchi wengi ni kwamba Raisi Mwai
Kibaki hana mchango wote katika nchi yetu sasa inakuwaje tunalienzi jina lake (Tuna
muenzi Mwai Kibaki) hapa nchini kwa kuweka jina lake katika barabara zetu?.
Change Tanzania kupitia
kiongozi wake Maria ilifanya mazungumzo na Meya Jerry Silaa ameeleza Change
Tanzania kuwa jina la Kibaki road linaweza kubadilishwa ila haiwezi kuitwa jina
lake la zamani Old Bagamoyo Road. Tuko tayari kupeleka maombi na tunahitaji
mapendekezo ya jina la barabara. soma zaidi na shiriki hapa
No comments:
Post a Comment